Princess harry ameuabisha ufalme wa uingereza kwa picha alizopiga jijini las vegas weekend iliyopita kwenye oteli moja ya kifahari iliyopo nchini marekani.Picha hizo alizipiga akiwa na rafiki zake na waschana kadhaa siku ya ijumaa baada ya kufanya party ya nguvu kwenye hoteli hiyo.Mtandao wa
TMZ.COM umedai kua harry akiwa na wapambe wake alienda kwenye bar ya hotelini hapo na kuwaalika wasichana ktk chumba chake.Walipoingia chumbani mambo yakazidi kuchangamka ndipo watu walipoanza kucheza michezo ya ajabu na kujikuta wakivua nguo zao.Katika picha moja harry anonekana akiwa mbele ya msichana huku yeye akiwa ameziba sehemu zake za siri kwa mikono