D'Banj kupiga show nchini uganda
Saturday, September 1, 2012
Kundi la waandaaji wa show la nigeria na uganda linatarajia kumpeleka D'banj nchini uganda.Limedaiwa kuwa katika mkakati huo ni pamoja na kumpeleka msanii huyo pamoja na mwingine kutoka nigeria.Kwa mujibu wa taarifa kutoka nchini uganda msanii d'banj huenda aksindikizwa na mchekeshaji maarufu barani africa Basket Mouth.Wasanii hao watajumuika na wasanii wengine wakubwa kutoka nchini uganda kwenye show hiyo
Tags:
D' banj,
Entertaiment