Mwaka 2012 ni mzuri kwa msanii wa kizazi kipya bongo ambaye anaitangaza vizuri nchi yetu ya
Tanzania Ambwene Yessaya Ay kwani siku ya kuamkia j'mosi hii ametajwa kwenye vipengele vitatu muhimu kuwania tuzo za
channel O music video 2012 .Jumla ya vipengele 14 vitashindanishwa mwaka huu.Ay ametajwa kuwania kipengele cha
most gifted african video of the year,
most gifted male video of the year and most gifted video of the year.
Nominations hizo zimetokana na wimbo wake wa
speak with your body aliofanya na
Lamyia wa marekani.Akitangaza majina hayo, mkuu wa vipindi vya
channel o Solly moeng alisema ubora wa watajwa wa mwaka huu ni ushahidi wa jinsi video za muziki zilivyo na umuhimu katika promotion ya muziki wa africa.Baadhi ya ni wapya ana hii inathibitisha kuwa hakuna kizuizi katika kuleta tofautikwanye muziki wa africa.
Ay si msanii pekee wa tanzania ambaye ametajwa kwenye kuwania tuzo hizo kwani
Cpwaa ametajwa kwenye kipengele cha
Most Gifted Dance Video of the year kwa video ya wimbo wake wa
mhhhh!!!
LIST YA VIPENGELE VYA CHOMVA2012
most gifted male video of the year
Khulichana ft.Notshi-tswaa Daar
Pro-Makasana
Big Nelo-Sente O Beat
D'Banj-Oliver Twist
Ay ft.Lamyia and Romeo-Speak With your body