wakati mwanae akikaribia kutimiza siku 40 rapper shetta amezungumza
kuhusu sababu za kumnunulia gari aina ya toyota lenye thamani ya
shillingi miloni 12.
kitu ambacho nimeamua ni kumpatia zawadi
kubwa kama lilivyo jina lake yeye anaitwa qaylah,qaylah maana yake ni
kitu kikubwa na kizuri kwa hiyo anadeserve.ni kitu ambcho nilikua
nakitegemea kwa muda mrefu so for real nimeamua kumpatia zawadi
yake.Ikishakua mali yake ni mali yake tu.Tumetegemea kwamba mtu
akifikisha umri wa miaka 18 ndio anaweza kumiliki kitu fulani sio
kumiliki,anmiliki mtu mwenye age yoyote.kwa hiyo iko chini ya mama yake
pamoja na mimi pia,shetta aliiambia 225 ya clouds fm
jana.