dogo janja sasa atimiza umri wa miaka 18
Saturday, September 15, 2012
Msanii anayechipukia bongo Abdulaziz chande(dogo janja) leo ametimiza umri wa miaka 18.Msanii huyo wa Mtanashati ent amesema anajisikia vizuri kutimiza umri wa miaka 18 kwani amepiga hatua nyingine kimaisha.
Tags:
Dogo janja