Imethibitishwa kuwa Muigizaji Michael Clark Dunkan aliefariki jumatatu ya september, amefariki kifo cha kawaida. Dunca aliekuwa Bodyguard na baadae ya kujiingiza kwenye uigizaji, amefariki akiwa na miaka 54 akiwa Cedars-Sinai Medical Center, Los Angeles, alipokua akitibiwa ugonjwa wa moyo