ALICHOKIANDIKA FID Q BAADA YA ORIJINO KOMEDI KUSEMA WIMBO WAKE WA DANGER NI COPY AND PASTE.
Friday, September 7, 2012
Ni wazi kuwa msanii wa HipHop Nchini alikerwa na kitendo cha ORIJINO KOMEDI kusema kwamba wimbo wake wa danger alikopi na kupesti kutoka kwa msanii wa nchini marekani,ambapo kwenye ukurasa wake wa twitter aliandika hivi........