Jinsi ya kumpigia kura Winfrida Dominique kwenye Miss Universe 2012
Saturday, December 8, 2012
Washiriki wa shindano la Miss Universe 2012 wanajiandaa kuchuana siku ya December 19 kwenye ukumbi wa Planet Hollywood Resort and Casino jijini Las Vegas, Nevada.
Pia unaweza kumpigia kura mwakilishi wa Tanzania katika shindano hilo Winfrida Dominique kwa kufuata link hii.
http://missuniverse.com/members/profile/652697/year:2012
Tags:
MISS UNIVERSE 2012