Jana mrembo wa Nigeria na aliyekuwa mshiriki wa BBA Stargame, Goldie, alitua Tanzania akitokea nchini Uganda ambako huko alifanya collabo na rapper Navio.
Jana usiku Goldie alialikwa kwenye kipindi cha Friday Night Live na mara zote amekuwa akitweet picha mbalimbali kwa followers wake wa Twitter.
|
Goldie alipokuwa akihojiwa na mtangazaji Sam Misago kwenye FNL ya EATV | | | | |
Goldie amefanya ngoma na Ambwene Yesaya kwenye studio za MJ Records chini ya producer Marco Chali na inasemekana video yake itafanywa na God Father Productions, kampuni iliyotengeneza video yake ya Party Zone.
“GoldieHarvey is trending in East Africa welcome to TZ hun keep dat torch shining d sky shud be d starting point Nice music we r Goldified,” alitweet miongoni wa followers wake wa Twitter wa hapa nchini.