BEN PAUL APUMZIKA KUFANYA COLLABO MPAKA FEB 2013
Monday, August 20, 2012
RNB star hapa Tanzania Ben Paul ameongea live kwenye Power Jams Ya Tarehe 2 August 2012 kuwa anapumzika kufanya collabo kwa miezi tisa kuanzia mwenzi huu wa nane 2012 .Ben aliandika kwenye mtandao wa twitter kupitia @IamBenPol kuwa amesha kuwa yeboyebo wa collabo na kwa sasa anabidi a focus kwenye kazi zake mpya kwa muda kidogo na anahitaji miezi tisa kufanya hivyo na baada ya miezi hii ataweza tena kufanya collabo. Ila Ben alinyunyuka kuwa kuna collabo atashindwa kuzikata kabisa zikija ila atajarubi kuto disappoint watu wanao taka kufanya nae kazi .By The Way Ben Paul ndio aliefanya Chorus ya Sikati tamaa ya Darasa , Everytime ya Steve K Fire , Nipoke ya Chid Benz na chorus nyingi kali hapa Tanzania .
Tags:
Ben paul