Yule meneja wa muda mrefu wa
50cent,Mariah Carey,Diddy Chriss lighty amekutwa amekufa jana asubuhi huku ikionekana kujipiga risasa.Kwa mujibu wa polisi,mwili wa meneja huyo aliyekuwa na miaka 44 ulipatikana saa 11;30 asubuhi kwa saa za marekani kwenye nyumba yake ya


Bronx.Kifo hicho kinachunguzwa ili kujua amejiua mwenyewe au la.Kwa mujibu wa vyanzo vya habari nchini marekani lighty alikua na majibizano na mke wake wa zamani waliopeana talaka mwaka jana ndipo alipoamua kujipiga risasi kichwani.Mastaa wengi wameonyeshwa kushtushwa na kifo hicho ambapo Rihhana ametweet ''
Rest peacefully chriss lighty my prayer go out to family and lovers one!Dear God please have mercy.