Kimya kingi kina mshindo mkubwa.Msanii anayefahamika zaidi katika muziki wa rnb nchini(RAMA DEE) baada ya kukaa kwa muda mrefu amewaambia mashabiki wake wakae mkao wa kula kupokea video ya kimataifa aliyoifanya nchini australia.
“Huu ndio muonekano wa video mpya ya Rama Dee baada ya “Kuwa Na subira” kazi imefanyikia Australia Gold cost,Kiwango ni kizuri cha kimataifa so kaa sawa unajua ni ngoma gani!!??…tega macho na mackio pia nashukuru sana kwa kuweza kuupokea vizuri mziki mzuri unaofanywa na mimi,,,pa1 sana,” ameandika leo kupitia Facebook.