PICHA ZA BIRTHDAY PARTY YA DOGO JANJA.
Monday, September 17, 2012
Dogo Janja amesherekea siku yake ya kuzaliwa 15 ,September 2012 na wasaniii wa mtanashati.Fahamu kuwa kwa sasa Dogo Janja anamiaka 18 so ni time yake kubadilisha jina .Mfano mzuri ni Lil Bow wow , Lil Romeo ,Dogo Hamidu ,Dogo Ditto. Kwa sasa Dogo Janja anampango wa kubadilisha jina na kuitwa Janjaro ila bado kutangazwa rasmi matumizi ya jina hilo .
Tags:
Dogo janja