Baada ya orijino komedi kumshutumu msanii wa muziki bongo Fareed Kuband {fid q}kua amekopy na kupest beat ya wimbo wa Danger rapa huyo hajaridhika na hatua zilizochukuliwa mpaka sasa kiasi cha kuamua kuchukua mwanasheria ili awaburuze kortini waigizaji hao.
''Looking for good lawyer dealing with defamation of character cases...contact us for detail''. fid q alitweet jana.
Baada ya kuona tweet hiyo Mtandao mmoja wa tanzania ulimpigia simu rapper huyo kutaka kujua kama kweli amedhamilia kulipeleka suala hilo kwenye sheria na yeye kusema kuna watu watu walimshauri kufanya hivyo lakini aliamua kupuuzia.
Hta hivyo alisema suala hilo limemuumiza kwa kua watu wasiofaham hayo mambo wamechukulia tofauti.
Aliongeza kua amekua akipata ujumbe kupitia facebook unaomkera kwa kua watu wamepotoshwa na Orijino komedi.
Staa huyo aliuambia mtandao huo atahitaji Orijino komedi kumuomba radhi rasmi kwa kuchafua jina lake.
Wiki ii studio iliyotengeneza beat hiyo iliamua kutoa tamko la kuwashutumu orijino komedi kwa kukurupuka na kuongea kitu wasichokifahamu.
''Chofako recomba 2008 jiulize nyimbo ilitoka mwaka gani?mziki wa usa sio sawa na tanzania.kuna tofauti kati ya mixtape songs na album songs also released tracks