Saturday, September 15, 2012
Baada ya kumaliza Tour yake UK na nchi zingine tulidhani ata pumzika kwa muda kabla ya kurudi tena studio.Hapa namuongelea Msanii Wiz Kid kutoka Nigeria ambaye kwa sasa tayari amesha ingia Konvict Records na anapiga mzigo na Akon. Pia Video yake na Msanii aliye chini ya lebel hio ya Akon ,Kardinal Offishall ft Wiz Kid - Reppin For My City inakaribia kukamilika so muda wowote utaiona hapa kwenye sammisago.blogspot.com.Wiz Kid ni mmoja ya wasanii toka Nigeria aliyepata deal na Akon na alisema ipo siku ata pata nafasi kama hio na hata ichezea ,well hii ndio time yake kama unavyoona hapo chini kuwa Akon anajitamba sana kufanya kazi na Wiz Kid.
Tags:
Uncategorised