
Dogo Janja amesherekea siku yake ya kuzaliwa 15 ,September 2012 na wasaniii wa mtanashati.Fahamu kuwa kwa sasa Dogo Janja anamiaka 18 so ni time yake kubadilisha......

Msanii anayechipukia bongo Abdulaziz chande(dogo janja) leo ametimiza umri wa miaka 18.Msanii huyo wa Mtanashati ent amesema anajisikia vizuri kutimiza umri wa miaka 18 kwani amepiga hatua nyingine kimais......