Find the latest news and videos around the world in swahili language
Msanii anayechipukia bongo Abdulaziz chande(dogo janja) leo ametimiza umri wa miaka 18.Msanii huyo wa Mtanashati ent amesema anajisikia vizuri kutimiza umri wa miaka 18 kwani amepiga hatua nyingine kimaisha.